Kazi ya Mwenye Enzi Mungu ni ya ajabu sana walahi!Nimekuhisi kama kuna magumu fulani kwako,yote ni moja ya njia ya maisha yetu.
Nimekuwa nikimfikiria huyo mtoto maisha atakayo yapitia,ameweza kubeba nguo kama kumbukumbu ya kizazi chake kilicho mtangulia,walio mkuta hao jangwani walilia kwa uchungu maana hawakumkuta na maji wala chakula,na mtoto hajui anako kwenda.