Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

852736840_83386.jpg
 
Anahitaji maombi sana. Wabaya wake wakishirikiana na majibwa ya nje inavyoonekana wamejipanga sawasawa kumletea masaibu ila wote, kwa jina kuu la Mungu wetu Mkuu, watashindwa na kuangamia na mama huyu mpendwa sana atabakia na amani, upendo na mng'aro wake wa matumaini. Tumuombee kila siku na bila kukoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hawamwezi kabisa mama Tanzania!
Nchi yetu Tanzania ni JICHO LA MWENYE ENZI MUNGU!
Kabla maadui zake hawajakaa ili kupanga kumdhuru, Mola anawauwa wote pamoja na vizazi vyao!
Nchi yangu Tanzania ndiyo Israel ya AGANO JIPYA!
MAMBO YA KALE YAMEPITA!
MAMBO MAPYA NDIYO YAMEANZA!
MJI MPYA NDIYO NCHI YANGU TANZANIA!
KWENYE UFUNUO!
 
Back
Top Bottom