Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hawamwezi kabisa mama Tanzania!
Nchi yetu Tanzania ni JICHO LA MWENYE ENZI MUNGU!
Kabla maadui zake hawajakaa ili kupanga kumdhuru, Mola anawauwa wote pamoja na vizazi vyao!
Nchi yangu Tanzania ndiyo Israel ya AGANO JIPYA!
MAMBO YA KALE YAMEPITA!
MAMBO MAPYA NDIYO YAMEANZA!
MJI MPYA NDIYO NCHI YANGU TANZANIA!
KWENYE UFUNUO!
Amen. [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
852732477_84042.jpg
 
Kwa mabinti na wanawake wote katika uzi huu. Leo ni siku yenu. Hongereni na Asanteni sana kwa upendo. Bila nyinyi duniani hapa sijui kungekuwaje...

Na mlio na bahati ya kuwa na mama zenu bado. Watunzeni na kuwaangalia sana. Wakishaondoka inauma mnoooo...

Jakitoo, Carba, Numbisa, Malkia ISIS, Demiss, Lasagna, Ukhuty, Consuela, Nsamaka na mabinti wengine katika uzi huu, Mungu Aendelee kuwabariki. Nawaombea maisha yenye furaha na familia zilizobarikiwa kupindukia... [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

*******************************************

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]W...O...M...A...N...[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]

● changes her name

● changes her home

● leaves her family

● moves in with you

● builds a home with you

● gets pregnant for you

● pregnancy changes her body

● she gets fat

● almost gives up in the labour room due to the unbearable pain of child birth

● even the kids she delivers bear your name

Till the day she dies... everything she does... cooking, cleaning your house, taking care of your parents, bringing up your children, earning, advising you, ensuring you can be relaxed, maintaining all family relations, everything that benefit you..... sometimes at the cost of her own health, hobbies and beauty.

So who is really doing whom a favour?

Dear men, appreciate the women in your lives always, because it is not easy to be a woman.

*Being a woman is priceless*


_Happy women's week!_

Share this with every woman in your contact to make her feel proud of herself.

Rock the world ladies!

A salute to ladies!

WOMAN MEANS :-

W [emoji810] WONDERFUL MOTHER
O [emoji810] OUTSTANDING FRIEND
M [emoji810] MARVELLOUS DAUGHTER
A [emoji810] ADORABLE SISTER
N [emoji810] NICEST GIFT TO MEN FROM GOD
Thank u much
 
Back
Top Bottom