Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hawamwezi kabisa mama Tanzania!Anahitaji maombi sana. Wabaya wake wakishirikiana na majibwa ya nje inavyoonekana wamejipanga sawasawa kumletea masaibu ila wote, kwa jina kuu la Mungu wetu Mkuu, watashindwa na kuangamia na mama huyu mpendwa sana atabakia na amani, upendo na mng'aro wake wa matumaini. Tumuombee kila siku na bila kukoma [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]