Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
19:3819:32
Kwani nani huwa anawapiga majumbani? Mpo tayari kutolewa mahari?kuvalishwa pete za uchumba hahahahaha[emoji1][emoji1][emoji1]... Tunataka usawa bana, na wababa tupewe yetu. Haijalishi kama ni toddlers, teenagers, au wababa!