Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
im jobless nataka ntafte kazi nifanye kwa bidii mwisho wa mwezi waniwekee uku mfukoni niweze kulainisha vyumaUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Hahahaha utatukana mwishowe.Numbisaaaaa huhambo
Shikamoo inastahili...Hahahaha utatukana mwishowe.
Sijambo,za saiz(sema kama mhenga upate shikamooooo)
Ngoja nikakuulize vizuriShikamoo inastahili...
Sawa...Weee
Ngoja nikakuulize vizuri