Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngozi ikiondolewa mwilini na kushughulikiwa kwa kuikausha na kutia dawa mbalimbali inaweza kutunzwa na kutumiwa kwa kutengeneza viatu, mavazi n.k.
 
Ngozi ina uwezo wa kutawala halijoto ya mwili ama kwa kutoa joto la ziada kwenda nje au kuitunza ndani ya mwili. Ngozi ikijikaza inatunza joto, ikilegea inapanua eneo la uso wake na kupunguza joto la ndani ya mwili.
 
Ngozi inasaidia kupumua yaani kupeleka oksijeni kwenye seli; kwa mwanadamu seli za ngozi yenyewe zinapata oksijeni kutoka nje moja kwa moja; kuna wanyama kadhaa ambao hawana mapafu wanapata mahitaji yote ya oksijeni kupitia ngozi yao.
 
Ngozi husafisha mwili kwa kutoa jasho. Licha ya kuratibu kiwango cha joto mwilini, jasho huwa linabeba uchafu kama vile urea, ingawa kiwango chake ni kidogo ukilinganisha na mkojo.
 
Back
Top Bottom