Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika ngozi ya mamalia kuna sehemu mbili:

ngozi ya nje inayoitwa kwa lugha ya kitaalamu epidemisi (epidermis). Ina unene wa milimita 0.03 hadi 0.05 lakini imaweza kufikia unene wa milimita kadhaa chini ya miguu na kwenye makofi ya mikono. Haifikiwi na mishipa ya damu. Hii ngozi ya nje hasa ina kazi ya kukinga mwili.
 
Ndani yake kuna kanda mbalimbali; sehemu ya chini ni kanda la kizazi ambako seli mpya zinazalishwa; jinsi zinavyosukumwa kuelekea nje zinakauka na mwishoni zifikia nje kabisa zinatoka kama mba.
 
804730331_126252.jpg
 
ngozi ya ndani (demisi au dermis). Ni nene zaidi na hii ni sehemu inayoweza kukaushwa na kutumiwa kama ngozi kwa ajili ya viatu na kutengeneza vifaa kama mfuko au ng'oma.
 
  • Thanks
Reactions: Soe

Back
Top Bottom