Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji2][emoji2][emoji2]The excitement when you know it is FRAIIIDEIIIIIIII FRIDAY is always A FUN DAY
Mbona si lazima.Hiyo yafunguka tu ukibonyeza play.Tusio na IG ndo hivyo tena...
Mimi mwenyewe natamani kukuteka...Kaka yego,uncle andjul njoeni muwe shahidi wa huu utekaji.
Aiseeh!![emoji134][emoji134][emoji134]Mimi mwenyewe natamani kukuteka...
Acha tuendelee kukugombania kimoyo moyo...
Habari ya asubuhi mamaangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mtu asikusogelee,nitakulinda hadi siku ya mwisho. Sawa ankoo?
[emoji124] [emoji124] [emoji124] hata sijui nimeandika nini kwa kweli!!Aiseeh!![emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji2][emoji2][emoji2]
Huyu jamaa katisha walah!!
Nilitaka kukusalimia nikasahau[emoji38][emoji38][emoji124] [emoji124] [emoji124] hata sijui nimeandika nini kwa kweli!!
Mimi mwenyewe natamani kukuteka...
Acha tuendelee kukugombania kimoyo moyo...
Habari ya asubuhi mamaangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mtu asikusogelee,nitakulinda hadi siku ya mwisho. Sawa ankoo?
Sio mimi bhana.Ohoooo! Kumbe kuna varangati humu la kumgombania MD wetu!? Bastola zinaruhusiwa nami niingie kilingeni?
Sio mimi bhana.
Hilo varangati linamuhusu Numbisa
VineMvinyo....
View attachment 708268
[emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaniii..Ohoooo! Kumbe kuna varangati humu la kumgombania MD wetu!? Bastola zinaruhusiwa nami niingie kilingeni?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaniii..
BAK hata ukiletewa maji ya kunywa ya baridi utakunywa kama chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ka EMU DII kamekunasia hadi umejitolea kuua ili umlinde!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa yuu BAK[emoji137] [emoji137]
Gudi moningi carba[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
**HII NDO RAHA YA UZI WETU,KICHEKO KINAANZAGA MAPEMAA...**
Salama kabisa.Nilitaka kukusalimia nikasahau[emoji38][emoji38]
Habari ya asubuhi.