carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nishakuzoea shem inawezekana ni mawazo ya ijumaa hayo.Salama kabisa.
Samahani kwa maandishi yale,vidole vyangu VILIHAKIWA na mawazo YASIYO JULIKANA.
Nashukuru kama uko salama.
Nishakuzoea shem inawezekana ni mawazo ya ijumaa hayo.Salama kabisa.
Samahani kwa maandishi yale,vidole vyangu VILIHAKIWA na mawazo YASIYO JULIKANA.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] jamaniii..
BAK hata ukiletewa maji ya kunywa ya baridi utakunywa kama chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani ka EMU DII kamekunasia hadi umejitolea kuua ili umlinde!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa yuu BAK[emoji137] [emoji137]
Gudi moningi carba[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]
**HII NDO RAHA YA UZI WETU,KICHEKO KINAANZAGA MAPEMAA...**
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] selufu difensi ina kuwa miguu kuchanganya kwa haraka kuongeza mwendo.Hahahahahahaha lol! Mie mzima Mkuu uwe na asubuhi na siku njema. Ukiwa na Bastola hakuna wa kukusogelea Mkuu utasikia mayowe tu ana bastola ana bastola huku kila mtu akitimka kivyake ili kunusuru uhai wake.
Hakika nipo salama,hofu ni kwako uliye mbali na upeo wa kichwa changuNishakuzoea shem inawezekana ni mawazo ya ijumaa hayo.
Nashukuru kama uko salama.
Yaani hapo kwenye kichwa ndo pananipa mawazo[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]Hakika nipo salama,hofu ni kwako uliye mbali na upeo wa kichwa changu
Hello Mamy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaniiiiii..
Gudi moningi shem
Aaaawww!!!Hello Mamy.
Miss you
Kwenye Nokia yangu inanipeleka kwenye page ya instagramMbona si lazima.Hiyo yafunguka tu ukibonyeza play.
Limkono tu hilo limoja simba anakula wiki. Lipaja sasa sijui likoje...safii midada
Tunatumia manati na makombeo. Silaha za kisasa haziruhusiwi...Au ikibidi tu tuzipige kavukavu atakayeibuka kidedea ndiye awe mtekaji rasmi...[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Ohoooo! Kumbe kuna varangati humu la kumgombania MD wetu!? Bastola zinaruhusiwa nami niingie kilingeni?
Mvinyo...Vine