Lazima ikupeleke kwenye page yake insta ukifika unaplay tu haina shida.Kwenye Nokia yangu inanipeleka kwenye page ya instagram
Salama kabisa,umeamkaje?Dada yangu Numbisa,habari ya asubuhi
Hee kumbe kuna watekaji wengi humu hahaha
Za asubuh nzuri,shikamoooo