Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kibofu cha mkojo
Kibofu ni mfuko wa mkojo uliopo mvunguni mwa matumbo. Kwa hiyo mkojo hauwezi kutoka moja kwa moja mara tu unapotengenezwa na mafigo. Kibofu kinapojaa mkojo, mtu huhisi haja ndogo. Kiasi cha mkojo unaotolewa kila siku hubadilika siku hadi siku. Hii hutegemea na hali mbalimbali. Mtu mwenye afya njema hutoa lita moja na nusu hadi lita mbili na nusu za mkojo katika muda wa masaa 24.
 
2DE434DD-0BEC-41B8-8830-3CEE60BC87B9.jpeg
 
Kiasi cha mkojo unaotolewa kila siku hupungua kama mtu hakunywa sana kinywaji cho chote au kama ametokwa na jasho sana. Hali hiyo hutokea pia mtu ashikwapo na homa. Hapo mkojo huwa na rangi ya kimanjano sana, pengine ni wa hudhurungi, na pengine hata kikahawia.
 
Sehemu ya nje ya mamalia imefunikwa na ngozi. Kutegemeana na mamalia kiwango cha nywele kinachoweza kuota juu ya ngozi kinategemea asili au mahali ambapo mamalia anapatikana. Ngozi ya binadamu inaweza kugawanywa katika sehemu mbili; nazo ni ngozi ya ndani na ngozi ya nje.
 
Ngozi ya nje ni matabaka mengi ya magamba. Ngozi inaposuguliwa, magamba haya hutoka. Hayo yanaonekana katika ngozi ya kichwa. Matabaka ya chini hayana magamba mengi nayo huwa na rangi maalum ionekanayo katika tofauti za mataifa makuu ya jamii ya wanadamu.

Ngozi ya nje hulinda sehemu za mwili zilizo chini yake na ambazo zina kapilari. Kwa hiyo mtu asiye na ngozi iliyochubuka anaweza kugusa na kutumia vitu vya maji maji vilivyo na sumu asidhurike navyo.
 
Ngozi ya ndani au ngozi halisi iko chini au baada ya ngozi ya nje. Ndani ya ngozi ya ndani vimo vinyweleo vya jasho visivyoweza kuhesabika. Karibu na vinyweleo hivyo zipo kapilari. Kila kinyweleo kimefanana na kifereji kilichonyongwanyongwa, na katika kuta zake vimo vifuko vidogo sana kama vile vilivyomo katika mafigo. Vifuko hivyo vinaweza kuondoa uchafu uliomo katika damu na kuupitisha katika vinyweleo mpaka kuutoa nje ya ngozi.
 
Bukoba. Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali mstaafu, Salum Kijuu amemuagiza kamanda wa polisi mkoani humo kumsaka na kumkamata mkandarasi wa kampuni ya Mecco aliyeshinda zabuni ya Sh6 bilioni za ujenzi wa barabara za lami katika Manispaa ya Bukoba na baadaye kugoma kujitokeza kusaini mkataba.
 
Agizo hilo amelitoa leo Machi 8 baada ya meya wa manispaa hiyo, Chifu Karumuna kulalamika kwenye kikao cha bodi ya barabara kuwa mkandarasi huyo amewaingiza hasara kwa kuwa aliingia kwenye ushindani wa zabuni, akashinda na baadaye akakataa kusaini mkataba hali iliyosababisha mchakato uanze upya.
 
Amekieleza kikao hicho kuwa kampuni ya Mecco ilishinda tenda kwa kuwa na sifa ya ziada ya kujenga kiwanja cha ndege cha Bukoba, ambapo aliomba msaada wa Serikali kwa kuwa fedha hizo zimetolewa na Benki ya Dunia na kuwa wananchi wanacheleweshwa kupata barabara imara.
 
Umemkomesha huyo andjul, umemtwanga shikamoo ya chapuchapu! [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Huku nikipiga mluzi! Mimi nae, sasa sijui nimendika nini! Salamaleko pale kwa mpigo? [emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124]
Hiyo shikamoo yake mbona ya kulegea? Nimemuelewa Numbisa, pole yako kwa kusindikiza watu.
Wewe na Kichwa kichafu sijui mna mkosi gani?!!! Hamjawahi kufanikiwa hata kwenye ndoto,achana na ya live live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imbeni tu kwaya kama alivyo amua Cole Williams.Kijana siku hizi ana amani tele
 
Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu wa Korea kaskazini.
 
Umemkomesha huyo andjul, umemtwanga shikamoo ya chapuchapu! [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124] Huku nikipiga mluzi! Mimi nae, sasa sijui nimendika nini! Salamaleko pale kwa mpigo? [emoji23][emoji23][emoji42][emoji42][emoji124][emoji124][emoji124]
Hahahahhaha yaan wewe,hio salamu ngoja carba aje anisaidie kujibu
 
Hiyo shikamoo yake mbona ya kulegea? Nimemuelewa Numbisa, pole yako kwa kusindikiza watu.
Wewe na Kichwa kichafu sijui mna mkosi gani?!!! Hamjawahi kufanikiwa hata kwenye ndoto,achana na ya live live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imbeni tu kwaya kama alivyo amua Cole Williams.Kijana siku hizi ana amani tele
Hahahhahaha jaman cole ana kazi kweli kwa utan wa humu
 
Back
Top Bottom