Hiyo shikamoo yake mbona ya kulegea? Nimemuelewa Numbisa, pole yako kwa kusindikiza watu.
Wewe na Kichwa kichafu sijui mna mkosi gani?!!! Hamjawahi kufanikiwa hata kwenye ndoto,achana na ya live live[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Imbeni tu kwaya kama alivyo amua Cole Williams.Kijana siku hizi ana amani tele
Hahahahhaha yaan wewe,hio salamu ngoja carba aje anisaidie kujibu
Amina. Na iwe vivyo hivyo na kwako pia[emoji120] [emoji120]Na makucha yake
Uwe na siku njema
Kijana mdogo ila una maneno ya hovyo hovyooo!!!!Wewe endelea kulewa na hiyo shikamoo ya kulegea! Nikwambie kitu? Ogopa sana mtu anayetembea kwa kunyata! [emoji1][emoji1]... Hivi nasubiri nini kwenda kwa bed? Shaaaaa! [emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Atajikuta gamboshiKijana mdogo ila una maneno ya hovyo hovyooo!!!!
Lala,ukiamka utakutana na mamba mlangoni
Mamy majukumu tu ndo yananiteka natafuta grisi [emoji6] [emoji6]Aaaawww!!!
Nani anakuteka hivi jamani?
Mwambie si vizuri bhana.
I michi yu tu mamie.
Gr8 walahiJambo Tanzania
Na baraka nyingi!Ijumaa nyingine