Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahahahaha lol! Mie mzima Mkuu uwe na asubuhi na siku njema. Ukiwa na Bastola hakuna wa kukusogelea Mkuu utasikia mayowe tu ana bastola ana bastola huku kila mtu akitimka kivyake ili kunusuru uhai wake.

 
Hahahahahahaha lol! Mie mzima Mkuu uwe na asubuhi na siku njema. Ukiwa na Bastola hakuna wa kukusogelea Mkuu utasikia mayowe tu ana bastola ana bastola huku kila mtu akitimka kivyake ili kunusuru uhai wake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] selufu difensi ina kuwa miguu kuchanganya kwa haraka kuongeza mwendo.
Na ikawe hivyo na kwako pia[emoji120] [emoji120]
 
Hakika nipo salama,hofu ni kwako uliye mbali na upeo wa kichwa changu
Yaani hapo kwenye kichwa ndo pananipa mawazo[emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]

Me bado kamoyo kanadunda kama kawaida na napumua,namshukuru Mungu kwakweli si wote tuliopata bahati ya kuliona jua la leo likichomoza[emoji120][emoji120]
 
Ohoooo! Kumbe kuna varangati humu la kumgombania MD wetu!? Bastola zinaruhusiwa nami niingie kilingeni?
Tunatumia manati na makombeo. Silaha za kisasa haziruhusiwi...Au ikibidi tu tuzipige kavukavu atakayeibuka kidedea ndiye awe mtekaji rasmi...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…