Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha
 
Kumbe anaogopa mende eeh?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa sijui
Usimsikilize Numbisa. Mende sisi enzi zetu unawakuta wamefia kwenye maziwa ya mgando asubuhi breakfast mwanaume unakimbia kwenda shule hata muda wa kuwatoa hakuna unawakoroga humo humo tu unakunywa maziwa yote unatokomea skuli ndo nije niogope mende mimi. Mi naogopa majimama. Ukiyaweka hapa huyooo hutaniona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke tu kwakweli.
Kumbe na wewe umenishtukia kama ilikuwa janja ya nyani?[emoji23][emoji23][emoji23]haki ya nani
Nakujua sana tu...

Nina profile yako hapa nzima. Page ya 12 sasa...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Hahahahahhaha
 
Majimama ya mende?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi ukiweka yale mapicha yako na isis na mimi naweka mende.
Siwezi kusafa pekeyangu,nefaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Urithi Wangu wote ni kwa my Queen
The one and only
 
Damu inachangia 8% ya uzito wa mwili wa binadamu,[3] ulio na uzito wastani wa 1060 kg/ m 3, inakaribiana sana na uzito wa maji safi ya 1000 kg/m3. [4] Mtu mzima wa kadiri ana kiasi cha damu cha kama lita 5 (1.3 gal), linalojumuisha plazma na aina kadhaa za seli (zinazoitwa mara kwa mara chembedamu);
 
elementi hizi zilizoundwa kutoka kwa damu ni chembechembe nyekundu (seli nyekundu za damu), lukosaiti (seli nyeupe za damu), na thrombositi (chembe za kugandisha damu). Kwa kiasi, seli nyekundu za damu huchangia takribani 45% ya damu yote, plazma takribani 54.3%, na seli nyeupe takribani 0.7%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…