mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wana makosa kweli hawa
Wana makosa kweli hawa
Alikuwa chief judge huyuJaji Barnabas Samatta
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jambo mkuuMimi mwenyewe natamani kukuteka...
Acha tuendelee kukugombania kimoyo moyo...
Habari ya asubuhi mamaangu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mtu asikusogelee,nitakulinda hadi siku ya mwisho. Sawa ankoo?
X chief judgeJaji Fransis Nyalali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Swaaafi derevaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilibakia kidoogo dereva apotee njia
UhaiLIKE zinaongeza nini?
HahahahahaKunguru hawa ndio walio leta ile methali isemayo "kunguru muoga...hagongwi na gari"
Sio hawa weusi shwuani zao wamejaa kiburi na tabia za udokoziView attachment 708858View attachment 708859
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti mpoleVitamin
Mkuu kibumbu, salaam mkuuISIS habari ya asubuhi
Kuna kampeni ya kuwamaliza lakini imefeli Dodoma hawakupo kabisa lakini kuna mtu aliwabeba 20 akwaleta makusudi tu na kuaachia sasa wametapakaa kote DodomaShwain kweli kweli walahi!
Wametafuna mayai ya ndege asilia!
Ikifika hapo, Yule wa awamu ya pili hapana kabisa kabisa jamani!