Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wengine hamna hata haja ya kuziwasha hizo data maana zipo on 24/7.*Mama wakizamani ambao nimama zetu wakiamka asubuhi wanawasha jiko lakini mama wasikuhizi ambao niwake zetu wakiamka asubuhi wanawasha data happy women day[emoji16][emoji16][emoji16]*
Swaaafi derevaaa[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee, muda sana sijatumia hiki kitu
Na mpaka sasa hivi bado wanafanya!Mijiwe hii mizito yenye mamia ya tani ilisafirishwa kutoka mbali sana, ikachongwa kwa ustadi wa ajabu halafu ikanyanyuliwa juu na kupangwa kwa usahihi kabisa huku ikishabihiana moja kwa moja na nyota muhimu na malimwengu mengine. Binadamu wa kale !!!
Hawa walima miwa ndo wanaongoza kwa kupigwa na wake zao.
Miaka ya kuishiLIKE zinaongeza nini?
Tumetoka mbali!Aisee, muda sana sijatumia hiki kitu
HahahahaHawa walima miwa ndo wanaongoza kwa kupigwa na wake zao.
Kifuatacho huko nyumbani sasa!!!
Kunguru hawa ndio walio leta ile methali isemayo "kunguru muoga...hagongwi na gari"
Hahahahha kabisaaaTukorokocho twingi mno katika mwili wa binadamu; na kamoja tu kakigoma basi ni kuimba mapambio. Hovyo sana !!!
VitaminLIKE zinaongeza nini?
Kunguru hawa ndio walio leta ile methali isemayo "kunguru muoga...hagongwi na gari"
Sio hawa weusi shwuani zao wamejaa kiburi na tabia za udokoziView attachment 708858View attachment 708859