ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Daaa sikuiona hiyo game[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mabeki nao watataMjadala mkubwa ni kitendo cha Alves mchezaji wa kimataifa wa Brazili kufuta makamasi kwa kutumia mkono wake kisha kumfutia Ronaldo ambaye ni mchezaji bora wa dunia.
Asante Mh. Kibumbu. Za siku nyingi mkuu?SHIMBA YA BUYENZE heshima kwako mkuu
Tukorokocho twingi mno katika mwili wa binadamu; na kamoja tu kakigoma basi ni kuimba mapambio. Hovyo sana !!!Wengu (pia "bandama "; kwa Kiingereza spleen) ni kiungo cha mwili chenye nafasi katika mzunguko wa damu. Iko ndani ya fumbatio ya mwili karibu na tumbo. Wengu ya mtu mzima huwa na ukubwa wa takriban sentimita 11 × 7 × 4 na uzito wa gramu 150-200.
Mijiwe hii mizito yenye mamia ya tani ilisafirishwa kutoka mbali sana, ikachongwa kwa ustadi wa ajabu halafu ikanyanyuliwa juu na kupangwa kwa usahihi kabisa huku ikishabihiana moja kwa moja na nyota muhimu na malimwengu mengine. Binadamu wa kale !!!