[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Halima white?
Huo uchochoro unatokea stendi ya Temeke hospitali mtaa wa Sudan.
Huo uchochoro wa Wahaya kwa ajili ya malighafi
Serikali ya Kenya kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema kuwa kuna wafungwa 1,300 raia wa Kenya waliofungwa nje ya Kenya.
Serikali ya Kenya kupitia Wizara yake ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imesema kuwa kuna wafungwa 1,300 raia wa Kenya waliofungwa nje ya Kenya.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Machi 08, 2018 jijini Nairobi, Waziri mwenye dhamana Balozi CS Monica Juma amesema kuwa Kenya nayo mpaka sasa imeshawafunga raia wa kigeni 2,000 kwa makosa mbalimbali, huku akiahidi kuchukua hatua za kidiplomasia kwa mazungumzo zaidi ili kuweza kubadilishana wafungwa.

Hili ni jambo la kawaida kuwa na Wakenya katika magereza nje ya nchi kama hatua za kisheria zilifanyika, Serikali yetu imeanza mazungumzo ya kidiplomasia na balozi zetu kwenye nchi husika kuhusu wafungwa 1,300 waliopo nje ya Kenya,’amesema Balozi Juma.
Akitaja nchi zinazoongoza kuwa na wafungwa wengi Wakenya Tanzania imeongoza kwa kuwa na wafungwa 79, Uganda imefuatia ikiwa na wafungwa 47 na Ethiopia ina wafungwa 15 huku wengine wakifungwa kwenye tofauti tofauti.
Mchezaji bora duniani anaekipiga klabu ya Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameingia katika gumzo kubwa katika mitandao mbalimbali ya kijamii duniani baada ya kuenea kwa video inayomuonyesha akifutiwa makamasi na mchezaji, Dani Alves wakati wa mechi yao dhidi ya Paris Saint-Germain iliyokwisha kwa mabao 2 – 1 michuano ya klabu bingwa bbarani Ulaya siku ya Jumanne.
Mjadala mkubwa ni kitendo cha Alves mchezaji wa kimataifa wa Brazili kufuta makamasi kwa kutumia mkono wake kisha kumfutia Ronaldo ambaye ni mchezaji bora wa dunia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.