Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
'Arsenal ina wachezaji wazuri'
Arsenal imeshinda mechi nne kati ya 15 walizocheza na hawajawahi kupoteza mechi tano tangu mwaka 1977 walipopigwa kwenye michezo minane mfululizo kuanzia tarehe 12 February mpaka tarehe 12 March.
Pamoja na Gunners kupambana, Gattuso anasema anatarajia kuwa na mchezo mgumu huko San Siro.
Alisema:''Arsenal haiko kwenye wakati mzuri,lakini ina wachezaji wazuri na wamefunga magoli 18 kwenye ligi hii ya Europa. Tunawaheshimu sana na lazima watoe matokeo mazuri.