Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alves ambaye amewahi kuitumikia klabu ya Barcelona kwa miaka tisa huku akiwa na historia na Ronaldo tangu siku ya kwanza anakabiliana naye katika ligi ya La Liga amekuwa na ushindani naye kwa kipindi chote hicho.
 
Hata hivyo mwanzoni mwa mwaka huu Alvesi amesema kuwa anamuheshimu sana Ronaldo tofauti na vyombo vya habari vinavyo andika.

Vyombo vya habari ndiyo vinavyo andika kuwa nina ugomvi na Cristiano.

Laiti watu wangefahamu kwa kiasi gani namheshimu sana Cristiano Ronaldo naliweka sawa hili narudia tena namheshimu sana Cristiano Ronaldo.

Kilamtu ananiambia kwakiasi gani alivyo kuwa na kipaji kama Ronaldo,ni tofauti kwangu nilipaswa nishindane naye.
 
Dani Alvesi akimsukuma Ronaldo wakati akiwa na klabu yake ya Barcelona

Mitandao mingi ya michezo imeandika na kuposti video hiyo inayo muonyesha Dani Alves akifanya kitendo hicho wakati wa mchezo wao dhidi ya Madrid.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limefunguka na kuweka wazi kuwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM, Adbul Nondo alifika kituo hicho cha polisi jana Machi 7, 2018 na kusema kuwa alitekwa na watu wasiojulikana.
 
RPC mkoa wa Iringa, Juma Bwire amesema kuwa jeshi la polisi limefungua jalada la uchunguzi ili kubaini ukweli kama mwanafunzi huo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania kama kweli alitekwa au la.
 
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa limefungua jalada la uchunguzi kubaini ukweli kama alikuwa ametekwa na kama alitekwa tunaaidi kwamba sisi jeshi la polisi likiwapata watuhumiwa sheria itachukua mkondo wake aidha tunaendelea kuchunguza kama ametoa taarifa za uongo kwa njia ovu kwa lengo la kutaka kuhamasisha wanafunzi wenzake ili kuleta uvunjifu wa amani nchini tutamshughulikia kama waalifu wengine”
 
Aidha RPC amesema kuwa mwanafunzi huyo kwa sasa anaendelea vizuri na wala hana majeraha yoyote yale kwani hajapigwa na ni mzima wa afya njema na kusema jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo ili kujua nini kilimsibu.
 
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania Abdul Nondo alipotea katika mazingira ya kutatanisha Machi 6, 2018 akiwa jijini Dar es Salaam majira ya saa tano usiku na kupatikana Mafinga Iringa Machi 7, 2018.
 
28752526_149399372405015_4595163532642746368_n.jpg
 
Back
Top Bottom