Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

28764789_1586491681400035_4984802785347239936_n.jpg
 
Shwain kweli kweli walahi!
Wametafuna mayai ya ndege asilia!
Ikifika hapo, Yule wa awamu ya pili hapana kabisa kabisa jamani!
View attachment 708892 View attachment 708890 Hebu mwone KUNGURU WA ASILI TANZANIA!
MAJESTIC walahi!
Kunguru wetu pendwa,taswira sahihi ya mwanaume mtana shati.
Enzi za u-Yegomasika wetu tulikuwa tunatamani tuje tuvae kama kunguru(kiatu cheusi,suruali nyeusi,shati jeupe,koti jeusi na kofia nyeusi) na wadada wakawa wanapenda waje wavae kama yange yange(gauni jeupe na kitambaa cheupe) sijui walikuwa wanatamani unesi?!!

Baada ya kuletwa hawa wachafu,wanaume tumeishia kuvaa majeans na matisheti meusi utadhani tumerogwa. Akina dada ndo kabisaaa wamekimbilia vikaba matko...
 
Wanyama ni viumbehai wasio mmea. Vile vile tunaweza kusema wanyama ni viumbehai wanaotegemea chakula kutoka sehemu nyingine: wao hawana uwezo wa kujitengenezea chakula chao wenyewe kupitia usanisinuru (nishati ya jua) lakini kutoka kwa viumbehai vingine ama wanyama wengine au mimea.
 
Wala mimea huitwa herbivori na wala nyama huitwa karnivori. Kuna pia wanyama wanaoitwa omnivori yaani wanakula kila kitu ama mimea au wanyama wengine.
 
Wanyama wanahitaji oksijeni kwa kupumua.

Wanyama walio wengi hutembea yaani hubadilisha mahali wanapokaa, kwa hiyo wanahitaji milango ya maarifa.
 
Jina la kisayansi ni animalia (kutoka Kilatini).

Sayansi inayochunguza wanyama huitwa zoolojia, ambayo ni tawi la biolojia.
 
Back
Top Bottom