Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aina za wanyama ni nyingi sana. Mara nyingi aina zao zinatofautishwa kama ni wanyama wenye seli nyingi (metazoa) au seli moja (protozoa) tu.
 
Kuna wanyama wanaoishi peke yao, katika vikundi na jamii. Mfano wa wanyama wanaoishi peke yao ni kifaru au nyoka. Wanajumuika kwa tendo la kuzaa pekee. Mfano wa wanyama wa jumuiya ni simba wanaokaa na kuwinda pamoja. Ushirikiano unasaidia kupata chakula bora. Mfano wa wanyama katika jamii ni nyuki na wadudu wengine.
 
Mimea ni moja kati ya makundi ya viumbe hai duniani ikijumuisha miti, maua, mitishamba n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
Sayansi inayochunguza mimea huitwa botania ambayo ni kitengo cha biolojia. Kwenye uainishaji wa kisayansi mimea hujumlishwa katika himaya ya plantae kwenye milki ya Eukaryota (viumbehai vyenye kiini cha seli na utando wa seli).
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa hiyo mimea huwa na utando wa seli mwenye selulosi. Mmea unapata sehemu kubwa ya nishati kutoka nuru ya jua kwa njia ya usanisinuru yaani hujilisha kwa msaada wa nuru. Ndani ya majani ya mimea kuna klorofili, dutu kijani, inayofanya kazi ya kupokea nuru na kupitisha nishati yake kwa sehemu nyingine ya mmea ambako inatumiwa kujenga molekuli zinazotunza nishati kwa njia ya kikemia na kutumiwa katika metaboli ya mwili.
 
Mimea kadhaa imepoteza uwezo wa kutengeneza klorofili ya kutosha, hivyo inajipatia nishati yao kama vimelea kutoka kwa mimea au viumbehai vingine.
 
Mimea mingi inazaa kwa njia ya jinsia, yaani kwa kuunganisha seli za kiume na kike; mara nyingi viungo vya kiume na vya kike vinapatikana ndani ya mmea mmoja. Kuna pia mimea inayozaa kwa njia isiyo ya kijinsia, kwa mfano kwa kuotesha mzizi wa hewani ambao unaingia ardhini na kuendelea kama mmea wa pekee.
 
Mimea ni msingi muhimu kwa viumbehai wengine duniani kwa sababu sehemu kubwa ya oksijeni katika angahewa ya dunia inatengenezwa na mimea
 
Mimea inatoa chakula kwa binadamu kama vile nafaka, matunda na mboga za majani, pia lishe kwa wanyama wa kufugwa.
 
Kiumbehai ni kitu kilicho hai kama vile binadamu, mnyama, mmea au bakteria.

Kwa upande mmoja viumbehai ni molekuli za mata jinsi ilivyo kwa vitu vingine, kwa mfano udongo, mawe, fuwele au hewa. Kwa upande mwingine mata hii ina mfumo wenye tabia mbalimbali ambazo kwa pamoja zinaunda uhai kama vile uwezo wa kuzaa, kukua na umetaboli (uwezo wa kujenga au kuvunja kemikali mwilini).
 
Hata kama sayansi haijajua kikamilifu uhai ni nini inatambua jumla ya tabia hizo kama dalili za uhai.

Kiumbehai kinaweza kuwa na seli moja (kama bakteria kadhaa) au kuwa na seli milioni kadhaa kama mwanadamu.

Viumbehai vyenye seli moja tu ni vidogo sana: havionekani kwa jicho bali kwa hadubini tu.
 
Rais @MagufuliJP "Wapo watu wanapenda tuache kufanya kazi tuende barabarani tukaandamane,ngoja wafanye waone,Kama kuna watu wanawatuma wataenda kuwasimulia vizuri".[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
 
Kiumbehai ni kiumbe chenye uwezo wa kuzaliana, kukua, kula, kujongea, kuhisi, kupumua, kutoa taka za mwili. Ni lazima awe na sifa hizo ambazo zinaweza kufafanuliwa kama ifuatavyo:
 
Back
Top Bottom