Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vipokezi hivi huhisi mazingira ya karibu, na kusababisha sonobari ya ukuaji kuvutiwa au kukataliwa na viungo mbalimbali vya chembe, na hivyo kuvutwa kuelekea upande mmoja maalum katika kila njia yake. Matokeo ya makakati huu wa utafutaji njia ni kwamba sonobari ya ukuaji hujipenyeza kupitia ubongo mpaka ifikie mahali pake pa mwisho, ambapo viashiria vingine vya kikemikali huifanya kuanza kukuza sinapsi. Kwa kuzingatia ubongo mzima, maelfu kadhaa ya jeni huzalisha protini zinazoathiri utafutaji wa njia kwa akzoni.
 
Mtandao wa sinapsi ambayo hatimaye hujitokeza huathiriwa kwa kiwango tu na jeni. Katika maeneo mengi ya ubongo, akzoni huanza kwa "kukua kupita kiasi", na kisha "kupunguzwa" kwa utaratibu unaotegemea shughuli za kiniuro.[53] Kwa mfano, katika kuelekeza kutoka machoni hadi ubongokati, , mfumo ulio miongoni mwa watu wazima una ramani sahihi sana, unaounganisha kila sehemu katika uso wa retina na sehemu husika katika safu ya ubongokati.
 
A3BF4724-1CCB-41D7-9B5E-EA834ED50352.jpeg
 
Katika hatua za kwanza za ukuaji, kila akzoni kutoka retina huelekezwa katika eneo jirani la kijumla katika ubongokati na viashiria kemikali, lakini hupinduka sana na kugusana kwa awali na rundo pana la neuroni za ubongokati. Kabla ya kuzaliwa, retina huwa na taratibu maalum zinazoifanya kuzalisha mawimbi ya shughuli zinazotokea kwa wakati moja na kisha kujiendeleza polepole kote katika safu ya retina
 
Mawimbi haya ni muhimu kwa sababu husababisha neuroni jirani kufanya kazi kwa wakati mmoja: yaani, zinazalisha mifumo ya shughuli za niuro zilizo na taarifa kuhusu mpangilio wa kieneo wa niuro. Taarifa hii hutumika katika ubongo kati kwa utaratibu ambao husababisha sinapsi kulegea, na hatimaye kutoweka, ikiwa shughuli katika akzoni haifuatiwa na shughuli katika chembe iliyo lengwa. Matokeo ya utaratibu huu changamani ni uonishaji kitaratibu na imarishaji wa ramani, ili hatimaye kuiacha katika hali yake halisi ya utu uzima.
 
Vitu sawa na hivyo hufanyika katika maeneo mengine ya ubongo: matriki awali ya sinapsi huzalishwa kutokana na mwongozo wa kikemikali unaoamuliwa kijenetiki, lakini baadaye hatua kwa hatua huboreshwa kwa utaratibu unaotegemea utendaji, kwa kiwango inayotegemea mabadiliko ya kindani, kwa kiwango fulani michango ya nje ya kihisia. Katika hali zingine, kwa mfumo katika mifumo ya retina-ubongokati, mipangilio ya matukio hutegemea taratibu zinazotokea tu katika bongo zinazostawi, na yamkini huwepo kwa madhumuni ya kuongoza ustawi pekee.
 
Katika binadamu na mamali wengine wengi, neuroni mpya hutengenezwa mara nyingi kabla ya kuzaliwa, na ubongo wa mtoto mchanga kwa hakika huwa na neuroni zaidi kuliko ya ubongo wa watu wazima.[55] Hata hivyo, kuna maeneo machache ambapo neuroni mpya huendelea mwezi kuzalishwa katika maisha yote. Maeneo mawili ambapo hili limejidhihirisha kikamilifu ni katika ya kilenge cha kunusa, ambacho kinahusika katika hisia za harufu, na jairasi yenye menomeno ya hipokampasi,
 
ambapo kuna ushahidi kwamba neuroni mpya hutekeleza jukumu katika kuhifadhi kumbukumbu mpya zinazopatika. Kando na hali hizi tofauti, hata hivyo, idadi ya neuroni iliyopo mapema utotoni, ndio hiyo hiyo inayopatikana katika maisha yote. Chembe za glia ni tofauti, kama na aina nyingi za chembe mwilini, hizi huzalishwa katika kipindi chote cha maisha.
 
Ingawa mkusanyiko wa neuroni huwa kwa kiwango kikubwa zipo za ktosha kufikia wakati wa kuzaliwa, miunganiko ya akzoni huendelea kukua kwa muda mrefu baadaye. Katika binadamu, ukuaji kamili wa neva hukamiliki wakati wa kubaleghe.[
 
Kumekuwa na majadala wa muda mrefu kuhusu ikiwa ubora wa akili, hulka na uwerevu kwa kiwango kikubwa huhusishwa na urathi au malezi; mjadala wa maumbile dhidi ya malezi.[57] Huu si suala falsafa tu: una umuhimu mkubwa wa kuvitendo kwa wazazi na waalimu. Ingawa maelezo mengi hayajakamilishwa, wanaelimu neva wanaonyesha waziwazi kwamba sababu zote mbili ni muhimu.
 
Jeni huamua hali ya kijumla ya ubongo, na jeni huamua jinsi ubongo unavyoitikia uzoefu. Uzoefu, hata hivyo, unahitajika kuboresha matriksi ya miunganiko ya sinapsi. Wakati mwingine huwa kwa suala la kuwepo au kutokuwepo kwa uzoefu katika vipindi muhimu vya ukuaji.[58] Wakati mwingine, wingi na ubora wa uzoefu unaweza kuwa muhimu zaidi; kwa mfano, kuna ushahidi mkubwa kuwa wanyama waliokua katika mazingira mazuri huwa na magamba manene, kuonyesha idadi kubwa ya miungano ya sinapsi, kuliko wanyama ambao viwango vyao vya kusisimka ni mdogo
 
Sis, jana kwa bahati tu nikafungua TV kuangalia kipindi changu nikipendacho sana cha Ancient Aliens mara paaap kumbe wanamwongelea Malkia Isis. Basi nikasogeza daftari na kalamu kabisa. Nilijifunza mengi. Kimsingi walikuwa wanadai kwamba inawezekana kuwa ISIS na miungu wenzake wa kale si miungu tu bali yawezekana Wamisri waliwaabudu kwa sababu miungu hiyo ilitoka huko mbali katika sayari zingine na ndiyo iliyowafundisha teknolojia ya kushangaza. Jamaa wako deep sana na kuna maprofesa, wanahistoria, wanasaikolojia, wanathiolojia na wanasayansi ambao maisha yao yote wameshughulika na haya mambo. Duniani hapa kuna vitu vingi sana ambavyo hatuvijui na elimu tunayofundishwa mashuleni imechujwa kwa uangalifu mno...
 
Kwenye joto hili la Dar wengi tu wana hali hii - wanawake kwa wanaume...na wengine hata wafanyeje weusi huo hautoki. Nakumbuka ulishatoa somo humu jinsi ya kuondokana na hali hii japo sina uhakika kama unakumbuka...Daktari !!!
Hahahahha ushaidaka niliifuta bana daah kuna wengine ni uzembe wao tu unaosababisha uchafu huu.

Nakumbuka sana tu
 
Back
Top Bottom