Sis, jana kwa bahati tu nikafungua TV kuangalia kipindi changu nikipendacho sana cha Ancient Aliens mara paaap kumbe wanamwongelea Malkia Isis. Basi nikasogeza daftari na kalamu kabisa. Nilijifunza mengi. Kimsingi walikuwa wanadai kwamba inawezekana kuwa ISIS na miungu wenzake wa kale si miungu tu bali yawezekana Wamisri waliwaabudu kwa sababu miungu hiyo ilitoka huko mbali katika sayari zingine na ndiyo iliyowafundisha teknolojia ya kushangaza. Jamaa wako deep sana na kuna maprofesa, wanahistoria, wanasaikolojia, wanathiolojia na wanasayansi ambao maisha yao yote wameshughulika na haya mambo. Duniani hapa kuna vitu vingi sana ambavyo hatuvijui na elimu tunayofundishwa mashuleni imechujwa kwa uangalifu mno...
Kwenye joto hili la Dar wengi tu wana hali hii - wanawake kwa wanaume...na wengine hata wafanyeje weusi huo hautoki. Nakumbuka ulishatoa somo humu jinsi ya kuondokana na hali hii japo sina uhakika kama unakumbuka...Daktari !!!
Uchezeshewe manyanga? Wee dogo ni mkorofi kinoma...Yaani ghafla nimekuwa kijana mkorofi najua kuna watu wanachezesha manyanga
Hahahahha ushaidaka niliifuta bana daah kuna wengine ni uzembe wao tu unaosababisha uchafu huu.Kwenye joto hili la Dar wengi tu wana hali hii - wanawake kwa wanaume...na wengine hata wafanyeje weusi huo hautoki. Nakumbuka ulishatoa somo humu jinsi ya kuondokana na hali hii japo sina uhakika kama unakumbuka...Daktari !!!
Nilikua sijauona aiseeeNumbisa. Umeiona hii? Chamdeko wetu naona kasarenda kwa King of Msata. Ina maana Gudume is out?
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1411699/
HahahahahaUchezeshewe manyanga? Wee dogo ni mkorofi kinoma...
Hata mtaani kwako wanakujua mbona...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] labda Numbisa aamue mwenyewe...