myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ushikwapo shikamana...
Lakini tuacheni utani Yego katoka mbali jamani. Kuna wakati alikuwa anafuleti kwa kuitikiwa tu. Hata akiwa mgumu mi sitashangaa. Mateso hukomaza !!![emoji23][emoji23]
Hapo miudenda inakutoka halafu wasema eti"naona kama picha ya guruguja"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaaaa
Sometimes yu kanti fogeti...Forget[emoji445] [emoji445] [emoji445]
King kaka ft tokodi
If you love somebody, let them go, for if they return, they were always yours. And if they don't, they never were.
Khalil Gibran
Kuna watu walikuwa wakiitikiwa humu wanalegea kabisa na hawajawa wagumu.Lakini tuacheni utani Yego katoka mbali jamani. Kuna wakati alikuwa anafuleti kwa kuitikiwa tu. Hata akiwa mgumu mi sitashangaa. Mateso hukomaza !!!
Kuna watu walikuwa wakiitikiwa humu wanalegea kabisa na hawajawa wagumu.
Kayego kameamua kuzira tu.
Lakini tuacheni utani Yego katoka mbali jamani. Kuna wakati alikuwa anafuleti kwa kuitikiwa tu. Hata akiwa mgumu mi sitashangaa. Mateso hukomaza !!!