Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

andjul atazunguka na avatar nyingine kisha atarudi kwenye hii ambayo anaipenda kuliko yoyote ile.
Zamani nilikuwa napenda sana kuwaona wenye vichwa vikubwa "komo" nikiamini wana akili sana.
Jirani yangu ana kichwa cha hivyo,muda wote ni kufoka foka tu...
Napenda sana kukiangalia,mdomo wake ulivyo nahisi kama unakaripia,kwa hiyo nashtuka naendelea na shughuli zangu...
 
Kabisa Mkuu niliandika humu kwamba pamoja na mapungufu yake yote Kikwete mpaka kuitwa DHAIFU lakini kama angeachia katiba mpya ifikie tamati na Watanzania kupata katiba ya rasimu ya Warioba na Tme huru ya uchaguzi angejizolea sifa kubwa sana si kwa Watanzania tu bali Afrika na Dunia nzima. Pia niliandika kama wewe kwamba legacy yake ingekuwa kubwa sana kuliko hata ya Baba wa Taifa lakini akakubali kusikia maneno ya watu wenye ufinyu wa mawazo na hivyo kuamua kuchakachua zoezi zima la kupata katiba mpya ili tu kukinusuru chama chake na kulinda ngvu kubwa aliyokuwa nayo Rais katika maamuzi mbali mbali. Pamoja na kutumia zaidi ya bilioni 100 kwenye zoezi lile lakini hatukuambulia chochote Mkuu.

Hapana. Mkulima wa nyanya kutoka Koromije niwe na access ya wapi ndugu yangu? Nimemsoma Noam Chomsky sana na ana mawazo mazuri kweli kuhusu baadhi ya matatizo ya viongozi wa Afrika. Wakati mwingine mpaka inauma ndiyo maana huwa najitenga na hayo. Kikwete aliniumiza sana alipokubali kutia sahihi sheria ya makosa ya mtandao mwishoni kabisa ya utawala wake; na hivyo kuharibu mojawapo ya iliyopaswa kuwa legacy kubwa kwa nchi yake. Imagine kama angeuacha ule mchakato wa katiba mpya ukaenda mpaka mwisho na akatuacha na katiba mpya. Legacy yake ingekuwaje katika historia ya nchi yetu? Aaaaaargh...!!!
 
Ila hilo la wenye vichwa vya hivyo nasikia ni kweli wana akili sana kama si vipanga mashuleni basi wana akili ya maisha lakini si wote Mkuu.

Naomba muendelee kujadili japo kwa majibizano zaidi tafadhali.Msiishie tu kwenye hizi komenti mbili
 
Back
Top Bottom