andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siwezi teseka pekeyangu mimi,nefaaaaa[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siwezi teseka pekeyangu mimi,nefaaaaa[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani Cole williams airudishe ile ya "mkataba"
Carba....Kwani siri???
Sawa na pole mkuu...
Kuna makala naziandika pengine nitakupa uzisome kwanza kabla sijazipeleka ninakotaka kuzipeleka, halafu unipe maoni yako. Viongozi wa Afrika wana matatizo yanayofanana fanana. Najaribu kudodosa tatizo lilipo na masuluhisho yake...
Itakuwa ameichoma moto kabisa[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] natamani Cole williams airudishe ile ya "mkataba"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️ Jamani! Sisi tuliamua kuwa wagumu! Hakuna failure hapo!
Hii kila ikirudishwa basi tunajua kumekucha...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]andjul atazunguka na avatar nyingine kisha atarudi kwenye hii ambayo anaipenda kuliko yoyote ile.
Heeeeeeee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Carba....Kwani siri???
Shhhh...we nawe...Ati umesema? [emoji101][emoji101]
Tatizo akirudisha hii avatar unajua kabisa kuna mvurugano utatokea.andjul atazunguka na avatar nyingine kisha atarudi kwenye hii ambayo anaipenda kuliko yoyote ile.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wagumu wapi bhana
Shemeji yaaani.....[emoji23][emoji23][emoji23]Shhhh...we nawe...
Ai emu helupingi yu. Bi kwayati !!!
Milango ya "posta mpya"ama?[emoji23][emoji23]Sisi wagumu aisee, hata milango yote ikifunguka; hatuingii ndani ng’o! [emoji23][emoji23]
Hapana. Mkulima wa nyanya kutoka Koromije niwe na access ya wapi ndugu yangu? Nimemsoma Noam Chomsky sana na ana mawazo mazuri kweli kuhusu baadhi ya matatizo ya viongozi wa Afrika. Wakati mwingine mpaka inauma ndiyo maana huwa najitenga na hayo. Kikwete aliniumiza sana alipokubali kutia sahihi sheria ya makosa ya mtandao mwishoni kabisa ya utawala wake; na hivyo kuharibu mojawapo ya iliyopaswa kuwa legacy kubwa kwa nchi yake. Imagine kama angeuacha ule mchakato wa katiba mpya ukaenda mpaka mwisho na akatuacha na katiba mpya. Legacy yake ingekuwaje katika historia ya nchi yetu? Aaaaaargh...!!!Shukrani Mkuu nitakuwa tayari kufanya hivyo. Huwezi jua labda SYB ana access na sehemu nyeti ambazo wengine hatuna.
Enheeeee... Ahsante sana muungwana Shimba[emoji120] [emoji120]
Yego uamue kuwa mgumu mbele ya...!!![emoji134]♂️[emoji134]♂️[emoji134]♂️ Jamani! Sisi tuliamua kuwa wagumu! Hakuna failure hapo!
Milango ya "posta mpya"ama?[emoji23][emoji23]
Tatizo akirudisha hii avatar unajua kabisa kuna mvurugano utatokea.
Kila neno atakalo ongea lazima ucheke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ewaaa, yaani umepiga mulemule! [emoji1][emoji1]
Yego uamue kuwa mgumu mbele ya...!!!View attachment 710719