Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]
Hapo miudenda inakutoka halafu wasema eti"naona kama picha ya guruguja"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwendaaaaa
Lakini tuacheni utani Yego katoka mbali jamani. Kuna wakati alikuwa anafuleti kwa kuitikiwa tu. Hata akiwa mgumu mi sitashangaa. Mateso hukomaza !!!
 
Handeni.Watu wawili wamefariki dunia na nyumba sita zikiezuliwa na upepo wilayani Handeni mkoani Tanga kutokana na mvua kubwa iliyonyesha jana, Machi 9, jioni.



Akielezea tukio hilo Diwani wa kata ya Msasa wilayani hapa Hossein Omari amesema mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Mhando (32) amefariki baada ya kupigwa na radi wakati akitoka msikitini saa kumi jioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…