Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Hellen Keller
You are in the world. The world is in you. You are the world. You can't be against yourself unless if you want to self destruct. Don't self destruct...ME AGAINST THE WORLD
Code 101 nitaweza kuimaster vizuriWewe naona itabidi uattend somo la “Ugumu 101” ndio utaelewa kuwa, wagumu zei mini wati zei sei! [emoji1][emoji1]
Mara paaaaap kijana mtamu....!!!Heheheee lol!!
Taratibu mtafika....
Watu wenye mioyo miepesi kama wewe,huwezi fanya hivyo.[emoji23]Yataka moyo sana...Wakati mwingine kama mbwai mbwai tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bro kwema Mungu yu mwemaYou are in the world. The world is in you. You are the world. You can't be against yurself unless if you want to self destruct. Don't self destruct...
Kwema lakini bro?
[emoji23][emoji23][emoji23]Mara paaaaap kijana mtamu....!!!
Na utamu pia ..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana mtoa mavituzi.
Huu uzi huu raha sana
Napiga kozi ya ugumu ujue 101[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana mtoa mavituzi.
Huu uzi huu raha sana
oJamaniii!!![emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na uzee wangu huu nianze kupamba ghetto?
Hizi shughuli zenu akina Yego wote ili mu-atrakti tu yego twa kike twenzenu...
Mna jijua makundi yenu..
Yego wa kiume:
1.Shimba
2.Cole
3.yegomasika
Yego wa kike:
1.Numbisa
2.carba
3.Jakitoo
4.Demiss
Vutianeni sasa kwa maana hatujui ya mbeleni nani atakuwa na nani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na manjonjoNa utamu pia ..
Wapi huko?Bro kwema Mungu yu mwema
Sijui upande wako
Nilikutafuta kule
meendeee
KweliiNa manjonjo