carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Nimezifuta.Walaaaa!
Kama mbwai mbwai na iwe. Huruma ya nini tena. Mrushie wale wanaojongea !!!
Naheshimu sana hisia za watu[emoji41][emoji41]
Nimezifuta.Walaaaa!
Kama mbwai mbwai na iwe. Huruma ya nini tena. Mrushie wale wanaojongea !!!
Wengi wanampenda kwa sababu hiyo. Sasa kawa mtu mzima ila bado anabamba mbaya...Alishafika hata Tanzania huyu...Rangi iko sawa
Usichukulie siriazi haya mambo bana. Umezifuta za nini sasa wakati mi nimezisevu hapa? Niziweke upya?Nimezifuta.
Naheshimu sana hisia za watu[emoji41][emoji41]
Wapi, mbugani auWengi wanampenda kwa sababu hiyo. Sasa kawa mtu mzima ila bado anabamba mbaya...Alishafika hata Tanzania huyu...
Three Things
Three things cannot be retrieved:
The arrow once sped from the bow
The word spoken in haste
The missed opportunity.
- Caliph Ali
Mtu anaombewa ufadhili...
Mtu afadhikiwe..
Ufadhili ufadhili...
Unazungumzia nini jirani?Ufadhili hata kwenye kupeana...
Naota tu!!Unazungumzia nini jirani?
Ngosha kasirika basi nikalale kwa aman leo sijabishana na mtu huko nje ya uzi aaahSina tatizo bageshi. Uzi wetu huu uzuri wake kila mtu yuko huru...and remember you are my role model for not giving a damn...Be free !!!
HahahahUsichukulie siriazi haya mambo bana. Umezifuta za nini sasa wakati mi nimezisevu hapa? Niziweke upya?
Hapana. Aliletwa na jamaa mmoja hivi kipindi fulani kuja ku-entertain. Bahati mbaya jamaa ni marehemu kwa sasa. Enzi za JK...Wapi, mbugani au
Kupeana pilauUfadhili hata kwenye kupeana...
Dah! Sikuinyaka hiyo...Hapana. Aliletwa na jamaa mmoja hivi kipindi fulani kuja ku-entertain. Bahati mbaya jamaa ni marehemu kwa sasa. Enzi za JK...
Wala si hivyo SYB.Usichukulie siriazi haya mambo bana. Umezifuta za nini sasa wakati mi nimezisevu hapa? Niziweke upya?
Na kachumbari ya mbilimbi...Kupeana pilau
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sitaki tena,hii vita nimesarenda