Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kwa ajili ya nini wakat mlonge upoHapana jirani...tanga nilienda kufata supu ya pweza tu jirani
Kwa ajili ya nini wakat mlonge upoHapana jirani...tanga nilienda kufata supu ya pweza tu jirani
Huko kuna utamu jirani...utamu mwema[emoji3][emoji3][emoji3]Ngoja niwaache,nihamie mtaa wa pili....
Mh!!Twende wotee
We baki hapa hapa na jirani yangu[emoji6]Twende wotee
Ulikua hujatufundisha mlonge....sasa hivi siendi tenaKwa ajili ya nini wakat mlonge upo
Hivi jirani unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko kuna utamu jirani...utamu mwema[emoji3][emoji3][emoji3]
Sawa jirani..Hivi jirani unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbaki salama hapa na kayego ka kike ka kikoromije.
Jiran huyu ana maneno balaaWe baki hapa hapa na jirani yangu[emoji6]
Nimkasirikie role model wangu. Thubutuuu !!!Ngosha kasirika basi nikalale kwa aman leo sijabishana na mtu huko nje ya uzi aaah
Hapo poaUlikua hujatufundisha mlonge....sasa hivi siendi tena