Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahah watu weuwee mambk mubashara. Kumekucha salama kabisa,za huko?
Najitahidi kweli kuwa mpole lakini hata siku moja sijawahi kuitwa kijana mpole. Siku hiyo nitatimua uchi barabarani kama alivyofanya Archimedes katika barabara za Athens ya kale. Kumekuchaje rolo modo wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…