Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jambazi Aliingia Kanisani mkononi ana bunduki kisha akasema hivi: 'Acheni KUSALI Sikilizeni kwa Makini. Wanaojifanya Wanampenda YESU Wabaki humu ndani Niseme nao, Wasiompenda Watoke NJE Haraka.

WATU Wote Wakatoka Mbio tena Mchungaji Akatokea Dirishani kwa kuona Mlangoni kuna Msongamano Akabaki mpiga Kinanda na Wazee wawili wa KANISA.

Jambazi Akasema WAZEE wangu ENDELEENI na Ibada. Nilikuwa Nawaondolea wanafiki Kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…