Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jambazi Aliingia Kanisani mkononi ana bunduki kisha akasema hivi: 'Acheni KUSALI Sikilizeni kwa Makini. Wanaojifanya Wanampenda YESU Wabaki humu ndani Niseme nao, Wasiompenda Watoke NJE Haraka.

WATU Wote Wakatoka Mbio tena Mchungaji Akatokea Dirishani kwa kuona Mlangoni kuna Msongamano Akabaki mpiga Kinanda na Wazee wawili wa KANISA.

Jambazi Akasema WAZEE wangu ENDELEENI na Ibada. Nilikuwa Nawaondolea wanafiki Kanisani
Jinga sana jambaz alipunguza sadaka hapo.[emoji23]
 
Bobo aitwa Benson[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji57] Boboo wachuduinhe?
Wewe matunda majinga[emoji23][emoji23][emoji23]
Me ni don, um the king, me ni hustler, yule guy hot and fire [emoji39] [emoji91] wanadai, lakini shida ni varshita
Varshita areeee where is my don[emoji445] [emoji445]
Mnanitia hasiraaaa[emoji23][emoji23][emoji23]maana nikikumbuka maudhi ya tanesco sina hamu....
 
image_search_1520768817223.jpeg
 
Soka ni mchezo ambao umekuwa kama mkombozi wa vijana wengi waliotokea katika familia za kimasikini, asilimia kubwa ya wanasoka wanaotamba katika soka kwa viwango vya juu wametokea familia za kimasikini, ila hiyo haimaanishi kuwa hakuna wanasoka waliotokea familia za kitajiri.
 
Top 5 ya mastaa wa soka waliotokea familia za kitajiri.

1- Andrea Pirlo zaidi ya mara moja amewahi kunukuliwa na vyombo vya habari akisema kuwa hakuwahi kucheza soka kwa ajili ya kupata fedha ili kujikwamua kimaisha, ila aliamua kucheza soka kwa sababu ndio mchezo aliokuwa anaupenda.
 
2- Gerard Piqué wa FC Barcelona historia yake na shule aliyosoma kwao Hispania inatosha kujua ni kijana aliyetoka katika familia ya inayojiweza, Pique amesoma shule ambayo hawasomi watoto wanaotokea katika familia za chini, hiyo inatokana na gharama ya ada katika shule hiyo.
 
3- Robin Van Persie huyu anatajwa kuwa toka yupo mdogo aliamua kuwaambia wazazi wake kuwa anataka kuwa mwanasoka, kitu ambacho hakikuwa kigumu kupata sapoti ya kila kitu kwa familia yake kulingana na kwao kuwa na uwezo, ni mwanasoka ambaye hakuwahi kucheza soka peku kama Luis Suarez.
 
5- Ricardo Kaka huyu ndio mbrazil wa mwisho kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or 2007 na ndio mchezaji pekee aliyewahi kushinda tuzo hiyo mbele ya Ronaldo na Messi, Kaka hakutokea familia ya kimasikini kama ilivyo kwa mbrazil mwenzake Ronaldo de Lima, baba yake alikuwa injinia na kaka zake walikuwa wameshafanikiwa katika soka.
 
Back
Top Bottom