Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo natoka mkuu. Hapa niko "mtakatifu" balaa. Hata mamisambwanda nayakaushia tu sigeuzi shingo wala lile jicho la kuibia ibia. Niko fokasidi balaa. Ngoja nione hii hali itadumu mpaka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado unaendelea kumshinda mshawishi wa yale mambo pendwa?

Habari ya jumapili[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cha madeko wa Jr[emoji137][emoji137][emoji137]
image_search_1520768808848.jpeg

Nimemiss hili tukio maisha ya upendo
 
Tungepa masuluhisho ingekuwa poa sana naangalia ukanda wetu huu Uganda na M7 ,Rwanda na kagame ,Burundi na Nkurunziza ,Congo DRC na Kabila, Angola na Dos Santos ,ni shida sana Bila sahau Sudan na Barre yaani sometimes maneno ya Trumb yanaishi
Angola ina rais mwingine kama sikosei...
Ndugu João Lourenço tangu 26,september,2017.
Kabla alikuwa waziri wa ulinzi 2014-2017
 
Back
Top Bottom