mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Rekodi'Black Panther' Hits $1 Billion Mark In Worldwide Box Office Numbers!
Rekodi'Black Panther' Hits $1 Billion Mark In Worldwide Box Office Numbers!
Utanisimulia ukishawatchNaenda kuiona leo hii ili nione what the fuss is all about....
AminaMungu wangu nirehemu mm mwenye dhambi
Hii Kali yego wa kike na meHivi shemeji unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti yego wa kike na wakiume
Bia yenye nguvu zaidi ina 68% kama sikosei...Sasa sio bia tena hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nini pilau amaNapenda kupindukia
Hahahahaha mkuu hapa ni stress free zoneHuu ni mmoja wa uzi ambao huwa nacheka sana. Saa nyingine nakaa kimya kusoma ila huwa mnachekesha sana na utani wenu. Huku SYB, kule Numbisa, katikati mweke Yego bila kuwasahau akina moudgulf myoyambendi andjul Cole Williams mzee wa liver na wengineo.
Mkuu habari za Jumapili wapi mbeya ,dar[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona carba kaamua kumletea kitu live wakati mimi niliona picha mnato...
My princess habari za Jumapili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Comment yangu wala haikuhusu umuhimu wa hesabu ambao unajulikana (japo haukaziwi sawa sawa). Nina tatizo kubwa na ufundishwaji wake...Mkuu hesabu ndio kila kitu hata ukila ugali unahesabu matonge[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Ila ni bingwa wa kuminya mbavu...Anaconda hana sumu
Mkuu majoka ni viumbe wazuri sana inatakiwa kutowaogopa na kuwadhuruMkuu naomba tuendelee na maisha tuliyo yazoea,wadudu hawa wa hatari kuonyeshana usiku si vizuri.
Namlaumu sana carba kwa picha aliyoileta,najua hata yeye alikuwa hajui kama ile ni picha ya mende.
Hata kama utaangalia kwa umakini sana hiyo picha sio MENDE,ni nzi mkubwa...
Rudia kuiangalia tena na tena kwa utulivu na kwa umakini kabisa,utagundua tu.
Tupo pamoja Shimba mzee baba,kokolochi ini da hausi beibiii....yu no woti amu seyingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amun RaHuu uzi unanisaidia sana kupunguza mawazo kwakweli.
Mbarikiwe wote mliomo kwenye uzi huu[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi wana vazi la TaifaKweli kabisa Mkuu. Kitabia hawa wanashabihiana sana na sisi Watanzania kuliko majirani zao wote na sisi kuliko majirani zetu wote. Namaanisha tabia za kistaarabu, kiungwana.
Ndiyo natoka mkuu. Hapa niko "mtakatifu" balaa. Hata mamisambwanda nayakaushia tu sigeuzi shingo wala lile jicho la kuibia ibia. Niko fokasidi balaa. Ngoja nione hii hali itadumu mpaka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu habari za Jumapili hope umeshatoka church
Napenda sana siasa lakini kuna muda wake ,kule kwenye jukwaa la siasa shida ni moja matusi ,mihemuko plus kila mtu anajua yeye na avutia upende wake shida sanaUmeona eeh! Nami ni hivyo siku nikichoka kule kwenye uzi wa kuudhi siasani basi huwa hapa muda mwingi sana kama nafasi inaruhusu. Kule siasani ni purukushani mtindo mmoja mwanzo mwisho.
[emoji2] [emoji2] , hongeraNdiyo natoka mkuu. Hapa niko "mtakatifu" balaa. Hata mamisambwanda nayakaushia tu sigeuzi shingo wala lile jicho la kuibia ibia. Niko fokasidi balaa. Ngoja nione hii hali itadumu mpaka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Don't speak negativity (hapa namkwoti malkia wako) [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Hali si nzuri kwa ujumla
Sijaelewa hii shimba ufafanuzi please