Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii kitu huwa inanikeraaaaaa aaagrr!!!

Habari ya jumapili shem kipenzi
Jumapili nzuri mno. Ndo natoka misa ya kwanza. Niko safiiiiiii !!!
Vipi wewe? Kale kanyoka bado kapo? Kaambie nakasalimia. Nakaletea mamende makubwa hamsini kaje kale kanenepe ili kaendelee kukuwinda vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Walimu wa hesabu jamani wana dhambi. Mtu anakuja anaandika tu lifomyula ubaoni na mialama hii ya Kigiriki. Wala hawaambii alama hizi zinamaanisha nini. Basi mnakariri tu lifomyula hata bila kuelewa implications zake. Hovyo sana !!!
Mkuu hesabu ndio kila kitu hata ukila ugali unahesabu matonge[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Amani ya woga[emoji41] [emoji41]
Hapana. Ni amani ya watu wanaojitambua, wanaoishi katika nchi iliyobarikiwa sana; na wanaoelewa hasara za vurugu zisizo na maana, vurugu ambazo mara nyingi hutesa hasa watoto na wanawake bila kuona faida yake ya muda mrefu mbali na kufaidisha vibaraka wachache na vijibwa vyao.

Kwema mkuu?
 
Safi sana !!!
852734948_89395.jpg
 
Back
Top Bottom