mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Destiny child
We mkuu ni Mchaga? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Nyuraa ni salamu ya kichaga ni kama mambo vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti vyuraa ila wewe B
Umenikumbusha topic ya Tourism form 2 [emoji2] [emoji2]Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kukalili kuwa wanapoambiwa kwenda kufanya utalii basi mawazo yanahamia katika hifadhi za taifa au Fukwe za Bahari, wakati kuna utalii wa kupanda milima,utalii wa uwindaji utalii wa picha, utalii wa kiutamaduni,Utalii wa Ikolojia,utalii wa fukwe,Michezo ya kwenye maji, utalii wa mali kale,utalii wa mikutano,utalii wa matibabu,utalii wa mashambani na utalii wa jiji.
Wangekukoma[emoji23][emoji23][emoji23]Ningekuwa slei kwin uwiiiiii hata sijui
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekununia!Hi my Queen
Angalia ya Kenya
Raila na Uhuru wamekutana na wameondoa tofauti zao wale waliokufa Juu ya ugomvi kati yao what next
Nyuraa ni salamu ya kichaga ni kama mambo vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti vyuraa ila wewe B