Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mitandaoni humu ni kufuata mkumbo tu na wengi ni wanafunzi wa shule. Makelele meengi lakini hakuna kitu. TL wanaweka vipicha picha mtandaoni eti mara anatembea huko Ubelgiji, kuna mtu anayejali? People have moved on kusubiri tukio jingine. Ndiyo maana kwenye haya mambo ni kuwa makini sana. Unaweza kuuliwa bure tu ukaacha shida kwenye familia yako and at the end of the day hakuna anayejali...Mimi nadhani kuna mchezo fulani unachezwa na wanasiasa wa pande zote mbili na wasioujua ndo wanaumia. Always changanya na zako binti. Fokasi na hicho kinyoka hapo na mengine waachie wenyewe...

Unafikiri leo kuna anayejali kuhusu Mawazo? Ben Saanane? Na wengineo? Nope!
Angalia ya Kenya
Raila na Uhuru wamekutana na wameondoa tofauti zao wale waliokufa Juu ya ugomvi kati yao what next
 
Back
Top Bottom