BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Jizazi....!!!Nyuraa mkuu
HahahahahaKatoa pumba wee mwisho akajisahau na kuandika empty set
Kajibiwa akatoa rubbish hahaha
Wanaharibu sana mahindi hasa yale ambayo ndiyo yameanza kubeba mihindi. Unaweza kuta ekari nzima wameparamia. Wanakula mihindi ile michanga na kwenda zao...
Ushiwaladu nimeacha [emoji41][emoji41]Aisee weka hadharani zipi hizo
@jakitoo njoo huku nyanya kunamtu anakuita slei kwini[emoji23][emoji23]Unamuita slei kwini mwenzio?
Mmniseme kwa lugha zenyu zile za kuslei😀😀
Nasoma sana na kujifunza vitu. Watu wana mawazo mazuri mno hasa wakisimamia hoja sema tu mara nyingi mihemko na jazba hutawala na kuharibu kila kitu.hahahahahahahaha lol! Kweli unanisoma kwenye lile jukwaa letu pendwa.
Jamani ubuyu umenipita nipeni ids zake basiMwandiko uleule na maneno yale yale,sema watu wameanza kumuiga na hivyo vibonzo vyake vya empty set
Hahahahaha in my lovely Queen voiceHovyo sana yule,nimemuweka kwenye ignore list huko anapambana na hali yake
Ushiwaladu nimeacha [emoji41][emoji41]
Tuliwahi kuua Nungungu nikiwa na marafiki darasa la tano tukitoka shule. Mwanzoni tuliogopa sana kumsogelea kwa kuhofia ataturushia ile miiba yake ambayo inadaiwa ina sumu kali, lakini baada ya mashambulizi ya mbali na kuona hakuna mwiba hata mmoja uliorushwa tukapata ujasiri na kumsogelea karibu kwa mawe.
Bado niko na shauku ya kukijua sasa sijui mwalimu kama yuko tayari kunifundisha.Toni ni ile tabia ya neno moja katika lugha kutamkika vile vile lakini maana inatofautiana kutegemeana na mkazo unaotia katika sauti.
Mfano neno kondoo na moyo katika Kikoromije yote ni ng'holo. Tofauti yake inategemea na mkazo. Hali kadhalika neno nda linaweza kumaanisha chawa au tumbo kutegemea na jinsi unavyolitamka.
Kichina ni kigumu sana kwa sababu neno linaweza kuwa lile lile lakini likawa na maana sita tofauti kutegemea na mkazo unaotumia wakati wa kulitamka. Tatizo ni kwamba kwa mtu ambaye hujazoea hata hizo tofauti za mkazo huwezi kuzisikia, na hivyo kujikuta unaboronga tu...
Bado una hamu ya kujifunza?
Gonga likes mamaaLeo nafanya kugawa likes tu[emoji8][emoji8]
HahahahahaUsitake nikeshe kisa likes. Ulale bana
Aiseeee