Naomba msamaha[emoji120][emoji120][emoji120]Lugha ya mama yako unaita lugha ya mizimu? Omba msamaha please...
HahahahahaLeo Numbisa umeonja mvinyo mwekundu wa kaYego wewe si bure...kha !!!
Siku mkigongana cheche zake sipati picha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ipi hiyo late ubuyu basiYule.muhenga nimekamata fake ID yake leo hahahahah
Mimi nishaanza hii kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 711739
Hahahahaha hatari sanaInjini zinatokota. Muujiza unatokea instantly wanakutana cheche zake sipati picha...Au wako pamoja. Mambo ya mtandao haya yu neva nooo [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Yule.muhenga nimekamata fake ID yake leo hahahahah
Aisee weka hadharani zipi hizoAko na id kama 3 hivi
Duh maajabuWanaliwa hawa. Nyama yake kama chikeni [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Hahahahaha mdukuzi weweHalafu anajisahau na ka msemo kake ka empty set haha
Unamuita slei kwini mwenzio?[emoji23][emoji23]
Wewe kumbe ni changamoto eeh?
Cc:jakitoo
Toni ni ile tabia ya neno moja katika lugha kutamkika vile vile lakini maana inatofautiana kutegemeana na mkazo unaotia katika sauti.Ile toni yenu ya kukaza maneno?
Naomba nipewe jinsi ya kujiunga na hili darasa,kama kuna masharti yoyote naomba kujuzwa tafadhali.
Jf raha sanaAisee. JF hapa kuna mambo mengi sana. Ulikamataje?
Kupeana pilau
Hahahahaha rubbishNa rubbish rubbish rubbish. Ndo signature yake kila mahali...
Wacha weeeee, wanauzwa wapi hawa wanyama na Mimi nijionee bila kuhadithiwa?Watamu balaa....
Wanaharibu sana mahindi hasa yale ambayo ndiyo yameanza kubeba mihindi. Unaweza kuta ekari nzima wameparamia. Wanakula mihindi ile michanga na kwenda zao...Dah! nilikuwa sijui kama Nungu nungu nao ni waharibifu wa mazao na mifugo.
Yego ahaha kumbe egoAlikuwa anatumia kujisifia kwenye ile sredi nyingine ya sijui kumtambua mtu kwa mambo anayoposti hapa? Watu wana ego za ajabu sana !!!