Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nungunungu hupenda kuishi na kufurahia mazingira yenye mapori na misitu ili kujihadhali na ukatilii anaotendewa.Nivigumu sana kumpata mnyama kama Nungunungu katika sehemu zenye nyasi fupi fupi huwa huishi kwe sehemu zenye nyasi ndefu kwa ajili ya usalama wao.
 
Nungu hupatikana sana katika maeneo ya kawaida na tropiki ya Asia, Italia, Afrika na Amerika ya Kusini na Kaskazini. Nungu huishi kwenye misitu, jangwani sehemu zenye miamba, vilima na nyikani. Baadhi ya nungu wa Dunia Mpya huishi kwenye miti, lakini nungu wa Dunia wa Kale wanakaa ardhini. Nungu huweza kupatikana hata kwenye miamba kwenye ardhi yenye hata urefu wa mita 3700. Nungunungu ni wanyama wa usiku.
 
Nungnungu ni wanyama wagugunaji wenye ngozi yenye miiba iliyochongoka wanayotumia kujilinda na maadui. Walienea katika ulimwengu wa sasa na ulimwengu wa zamani. Katika wanyama wagugunaji ni watatu kwa ukubwa, wakitanguliwa na capybara na buku. Nungu wana urefu kati ya sm 20 - 25. Uzito wao wakaribia kg 5.4 - 16. Wana umbo la duara, wakubwa na wataratibu kweli.
Wanaliwa hawa. Nyama yake kama chikeni [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Katika Tanzania inasemekana Nungunungu huwapatikana kwa wingi katika mapori mbalimbali likiwemo pori la Nyamunsi lililoko Wilayani Tarime Mkoa wa Mara.Baadhi ya Wenyeji wa sehemu hiyo wanaamini kuwa ngozi ya Nungunungu ni dawa ya watoto wadogo na hivyo waganga wengi huwawinda na kuwatumia kwa lengo la kutibu watu kutokana na imani tofauti katia jamii.Pia Nungunungu anahusishwa sana na uchawi kwani anaaminika kuwa ukimkuta njiani ni ishara ya kutokea kwa jambo fulani baya au zuri.
 
Nijukumu la sisi Watanzania kuhifadhi makazi ya wanyamapori kwa kuwa ni suala la sisi sote.Wanyamapori hawa ni urithi wetu,kila mmoja wetu atimize wajibu wake kwa nafasi yake ili kuhakikisha uwo wa rasilimali ya wanyamapori na matumizi yake vinakuwa enendelevu.
 
[emoji443][emoji444][emoji445]Tokotoko tokotoko toko...[emoji445][emoji443][emoji444]Piston za injini V8 zikisigana na kukoboana. Bila grease ya kutosha na full synthetic engine oil unaweza kuua gari...Halafu cha ajabu niliposema tu kuwa pengine walikuwa pamoja, injini zikapoa ghafla...Jirani yako yule ni mtu hatari sana. Mpaka anaweza kumuwasha rolo modo wangu vile wakati wengine wakijaribu wanaishia kuraruliwa vibaya....Kweli hata chui huparamiwa [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
[emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee wewe,mi simooo
Jamaa silent killer hana haraka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
We mzee wewe,mi simooo
Jamaa silent killer hana haraka.
Wewe ulipona au we hujanyemelewa na kuonyeshwa pipi kijiti? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Hii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...

Numby = anaweza kubabaisha salamu pekee
Carba = hata salamu hawezi
Kitoo = hata salamu hakuna...

Ledizi, whati izi goingi on?
Si wote wanapata bahati ya kujifunza/kufunzwa hizo lugha kwa sababu moja ama nyingine.
Ila nitakuja unifunze kikoromije[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Tuliwahi kuua Nungungu nikiwa na marafiki darasa la tano tukitoka shule. Mwanzoni tuliogopa sana kumsogelea kwa kuhofia ataturushia ile miiba yake ambayo inadaiwa ina sumu kali, lakini baada ya mashambulizi ya mbali na kuona hakuna mwiba hata mmoja uliorushwa tukapata ujasiri na kumsogelea karibu kwa mawe.

Nungnungu ni wanyama wagugunaji wenye ngozi yenye miiba iliyochongoka wanayotumia kujilinda na maadui. Walienea katika ulimwengu wa sasa na ulimwengu wa zamani. Katika wanyama wagugunaji ni watatu kwa ukubwa, wakitanguliwa na capybara na buku. Nungu wana urefu kati ya sm 20 - 25. Uzito wao wakaribia kg 5.4 - 16. Wana umbo la duara, wakubwa na wataratibu kweli.
 
Hii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...

Numby = anaweza kubabaisha salamu pekee
Carba = hata salamu hawezi
Kitoo = hata salamu hakuna...

Ledizi, whati izi goingi on?
Mie salamu najua mkuu
 
[emoji23] [emoji23] tatizo wamekulia mjini etii
 
Wewe ulipona au we hujanyemelewa na kuonyeshwa pipi kijiti? [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
Mimi mwenyewe mnyemeleaji[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda tunaviziana[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom