Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180311-WA0055.jpg
 
Radi imewaua takriban watu 16 na kuwajeruhiwa wengine kadhaa kwenye kanisa moja la KiAdiventista nchini Rwanda siku ya Jumamosi
Wengi wa waathiriwa walifariki papo hapo wakati radi ilipiga kwenye kanisa katika wilaya iliyo kusini mwa nchi ya Nyaruguru, kwa mujibu wa meya wa eneo hilo, Habitegeko Francois.
 
Hakuna mtu angependa kuona harusi ikiharibika lakini baba mmoja ameshikwa na hofu kutokana na kilichotokea wakati wa harusi ya binntiye.
JP Nadeau anaripotiwa kupigwa na radi wakati akitoa hotuba huko New Brunswick, Canada.
 
Wakati nilikuwa nikimuambia mkwe wangu, "Una bahati sana- Boom!!" alikimbia kituo kimoja cha habari huko Canada.
Kando na jeraha alilopata kwenye kidole chake, bwana Nadeau hakuhofu na sherehe hiyo ya harusi iliendelea.
 
MFAHAMU NYUKI KIUNDANI ZAIDI

Uainishaji wa kisayansi

Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropoda (Wanyama wenye mwili wenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Ngeli ya chini: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Hymenoptera (Wadudu wenye mabawa mangavu)
Nusuoda: Apocrita (Hymenoptera wenye kiuno chembamba sana)
Familia: Apidae (Nyuki)
 
Back
Top Bottom