Ulale salama na Mungu akupe baraka!Nimeelewa "ulae kucha" tuu mengine umeniacha Goddess [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji443][emoji444][emoji445]Tokotoko tokotoko toko...[emoji445][emoji443][emoji444]Piston za injini V8 zikisigana na kukoboana. Bila grease ya kutosha na full synthetic engine oil unaweza kuua gari...Halafu cha ajabu niliposema tu kuwa pengine walikuwa pamoja, injini zikapoa ghafla...Jirani yako yule ni mtu hatari sana. Mpaka anaweza kumuwasha rolo modo wangu vile wakati wengine wakijaribu wanaishia kuraruliwa vibaya....Kweli hata chui huparamiwa [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Lile kolabo la jana acha tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Walikuwa wanaenda sambamba
Wote motooo
Hii aibu hii sasa. Lugha hizi mnapaswa kuzifahamu japo kwa juu juu...Andaeitini jamani. Meki shua yu no atilisti wani Afrikani langueji. Sasa nyie mnadhani kujua lugha hizi ni ushamba. Mnapoteza identity yenu na nafasi yenu katika dunia hii...Nimeelewa "ulae kucha" tuu mengine umeniacha Goddess [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]