Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kikoromije ni Kibantu na kinafunzika kirahisi tu japo kina toni zinazosumbua kidogo. Nilishawahi kufundisha watumishi fulani waliokuwa wanakuja Tanzania kule Sweden kipindi fulani. Wiki 6 waliweza kujua salamu, kujitambulisha, kuomba vitu vya msingi na kuuliza maswali kuhusu kilichokuwa kinawapeleka Ukoromijeni. Nitakufundisha vizuri na sitataka unilipe cho chote...[emoji23][emoji23][emoji23]Si wote wanapata bahati ya kujifunza/kufunzwa hizo lugha kwa sababu moja ama nyingine.
Ila nitakuja unifunze kikoromije[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]