Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Yegoooo...Whea a yuuuuu?????MD wa zamu naomba uje kunibeba ila usiniangushe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Yegoooo...Whea a yuuuuu?????MD wa zamu naomba uje kunibeba ila usiniangushe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngoja nim cc[emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 710991
Kwa yeyote anayehusika!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegoooo...Whea a yuuuuu?????
Weweeeeee !!!Both
Mbona mapema sana leo?[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Nimechoka tu. Halafu siku hizi hata wafukuzaji hamna. Naamua tu kwenda kulala anytime nikitaka...Mbona mapema sana leo?
Pole shem,nenda kapumzike.Nimechoka tu. Halafu siku hizi hata wafukuzaji hamna. Naamua tu kwenda kulala anytime nikitaka...
Mitandaoni humu ni kufuata mkumbo tu na wengi ni wanafunzi wa shule. Makelele meengi lakini hakuna kitu. TL wanaweka vipicha picha mtandaoni eti mara anatembea huko Ubelgiji, kuna mtu anayejali? People have moved on kusubiri tukio jingine. Ndiyo maana kwenye haya mambo ni kuwa makini sana. Unaweza kuuliwa bure tu ukaacha shida kwenye familia yako and at the end of the day hakuna anayejali...Mimi nadhani kuna mchezo fulani unachezwa na wanasiasa wa pande zote mbili na wasioujua ndo wanaumia. Always changanya na zako binti. Fokasi na hicho kinyoka hapo na mengine waachie wenyewe...Yaani watanzania bhana.
Huwa tunasahau mapema sana.
Wiki chache zilizopita watu walikuwa wanahoji ripoti ya kifo cha mwanafunzi wa NIT,ila sasa hakuna hata anayehoji ripoti ilikoishia.
Mungu atusaidie kwakweli.
Amen...Ila siku hizi unaniudhi yaani basi tu. Anyway, malizia zamu yako salama. This is it...Inshallah tutasemeshana tena kesho. Msalimie binti mpole akiamka !!!Pole shem,nenda kapumzike.
Uwe na usiku mwema,malaika wa Mungu wakulinde.
Yaani huwa tunaendeshwa na matukio.Mitandaoni humu ni kufuata mkumbo tu na wengi ni wanafunzi wa shule. Makelele meengi lakini hakuna kitu. TL wanaweka vipicha picha mtandaoni eti mara anatembea huko Ubelgiji, kuna mtu anayejali? People have moved on kusubiri tukio jingine. Ndiyo maana kwenye haya mambo ni kuwa makini sana. Unaweza kuuliwa bure tu ukaacha shida kwenye familia yako and at the end of the day hakuna anayejali...Mimi nadhani kuna mchezo fulani unachezwa na wanasiasa wa pande zote mbili na wasioujua ndo wanaumia. Always changanya na zako binti. Fokasi na hicho kinyoka hapo na mengine waachie wenyewe...
Unafikiri leo kuna anayejali kuhusu Mawazo? Ben Saanane? Na wengineo? Nope!
Nakuudhi na nini shem?Amen...Ila siku hizi unaniudhi yaani basi tu. Anyway, malizia zamu yako salama. This is it...Inshallah tutasemeshana tena kesho. Msalimie binti mpole akiamka !!!
Watu kama weweYaani huwa tunaendeshwa na matukio.
Sijui tukoje.
Sasa hivi hayo yote tumesahau tumehamia kwenye tar26/4.
[emoji23][emoji23][emoji23]Watu kama wewe
Tuta washughulikia baada ya maandamano ya tar 26/4
Yegoooo...Whea a yuuuuu?????