Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mpaka injini itokote [emoji444][emoji445][emoji443]"tokotoko! tokotoko" [emoji445][emoji443][emoji444]Saaaaay waaaaat[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwani unafikiri ni ka njia ka kwenda nyumbani basi.Kale kanyoka hapo kwenye kauchochoro kuelekea kwako bado kapo? Leo usipite njia hiyo azawaisi tutaishia kuimba mapambio bure. Hata kama ni kuruka geti leo ruka au tafuta jibaba lije likubebe. Mwite hata jirani leo. Ujirani kusaidiana ati !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nibaki na ukimbaumbau wangu kuliko gumwili kama huoSi ndiyo maana anafanya mazoezi ili kujitibu japo nadhani amechelewa sana !!!
Oni mai weiiii[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hasa kama unaogopa nyoka kwenda kwako hii inakuhusu [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
View attachment 710976
Nilijua hajavaa kyupi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka injini itokote [emoji444][emoji445][emoji443]"tokotoko! tokotoko" [emoji445][emoji443][emoji444]
Mwite MD wa zamu akubebe...ila tu asikuangushe [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kwani unafikiri ni ka njia ka kwenda nyumbani basi.
Kakorido ka job ndo kuna kajoka hapa nawaza hata kupita hapo na hakuna njia mbadala[emoji23][emoji23][emoji23]
MD wa zamu naomba uje kunibeba ila usiniangushe[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mwite MD wa zamu akubebe...ila tu asikuangushe [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️