Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ngoja nim cc[emoji1][emoji1][emoji1]
Ji cc mwenyewe basi! [emoji23][emoji23]
Ngoja nim cc[emoji1][emoji1][emoji1]
Cc carbaJi cc mwenyewe basi! [emoji23][emoji23]
Cc carba
Ooooppss!!nimekosea
Cc:binti mpole popote ulipo kuna coffee hapa umeandaliwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Santeeee yego[emoji120][emoji120][emoji120]Mimi najua wewe ndio binti mpole, shemeji kipenzi wa fulani! Embu kamata basi hiyo coffee! [emoji1][emoji1]
Ni vema na ni haki maana rehema na fadhili zake ni mpya kila asubuhi!Mungu wangu nirehemu mm mwenye dhambi
Siyo watanzania bali ni human nature!Yaani watanzania bhana.
Huwa tunasahau mapema sana.
Wiki chache zilizopita watu walikuwa wanahoji ripoti ya kifo cha mwanafunzi wa NIT,ila sasa hakuna hata anayehoji ripoti ilikoishia.
Mungu atusaidie kwakweli.
Iceman D!Watu kama wewe
Tuta washughulikia baada ya maandamano ya tar 26/4