myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa nawe upate
Saaaaay waaaaat[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Pipiiiiii !!!Safi
Numbisa njooo !!!Pipii
We sema tu hata sasa hivi naweza kukuweka huko[emoji23][emoji23][emoji23]Natamani nami siku moja nifike huko ili nianze kupambana kujitoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ni maradhiMazoezi muhimu [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
View attachment 710956
Kale kanyoka hapo kwenye kauchochoro kuelekea kwako bado kapo? Leo usipite njia hiyo azawaisi tutaishia kuimba mapambio bure. Hata kama ni kuruka geti leo ruka au tafuta jibaba lije likubebe. Mwite hata jirani leo. Ujirani kusaidiana ati !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We sema tu hata sasa hivi naweza kukuweka huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndiyo maana anafanya mazoezi ili kujitibu japo nadhani amechelewa sana !!!Haya ni maradhi